KIKOSI CHA MPAJU ATINISU KILICHOLETA USHINDI NA KUSHIKA NAFASI YA TATU

Hawa ndo vijana walio tung'arisha na bado wanahamu ya kufanya zaidi ya hapa...

Kikosi toto cha Mpaju SC

Hiki ndicho kikosi cha Mpaju SC upande wa watoto kikiwa kwenye ziara katika shule ya msingi Mpolo.

Mpaju FC wakiwa kwenye Picha ya Pamoja

Mpaju FC wakiwa kwenye Picha ya Pamoja wakati wa Tamasha la Mpaju Week 2019 Uwanja vya Magereza Mbeya.

Sunday, September 24, 2023

MPAJU FC QUEENS (ATINISU) WACHEZA NA KUSHINDA KAMA MABINGWA HALISI WA MKOA WA MBEYA

WAWAFUNGA WATANI WAO ICON FC KWA MABAO 2 BILA MAJIBU
(JANET NA MARIAM WAINYANYASA ICON KAYA MAGOLI SAAAAFI YA HARAKA) 

Monday, July 31, 2023

MPAJU FC (ATINISU) WRCL 2023-YAPANDA DARAJA LA KWANZA KWA KISHINDO

 

MPAJU FC (ATINISU) WANG'AA



MBEYA YANG'AA ZAIDI

Tuesday, May 16, 2023

LIGI YA MPIRA WA MIGUU WANAWAKE 2022/23-MBEYA

MPAJU FC QUEENS (ATINISU) YAVUKA HATUA YA AWALI KWA KISHINDO 

WAICHAPA ICON FC QUEENS 2-0





EMILE-KOCHA MCHEAJI NA MFUNGAJI WA BAO LA KWANZA 



JOPO LA WASIMAMZI WA MCHEZO WAKIWA NA MAKEPTENI WOTE









KOCHA MPAJU FC SAIMONI a.k.a SAIBOGI AKITAFUATILIA MCHEZO KWA UMAKINI 

WACHEZAJI WA AKIBA MPAJU FC PAMOJA BENCHI LA UFUNDI


Saturday, May 6, 2023

MPAJU FC QUEENS (ATINISU) YAANZA VEMA LIGI A MKOA WA MBEYA 2023/2024

 YAIFUNGA ILEMI QUEENS 2-0 

Kikosi cha Mpaju FC Queens na Kocha David Saimoni, wakiwa tayari kuwakabili Ilemi FC Queens (Namba 30-Hidaya Zuberi-Mfungaji wa Magoli yote ya Mpaju FC)




Wachezaji ,Viongozi na Mashabiki wa Mpaju FC wakiwasikiliza Makocha wakati wa Mapumziko




Hata Hivyo, Mechi haikuwa Nyepesi Ilemi walikuwa na timu nzuri kuliko ilivyotarajiwa na wengi kutokana na kutokuwa na uzoefu katika mashindano haya tofauti na Mpaju FC Hakika ligi hii inazidi kuwa bora sana Hongera kwa Uongozi wa Mpira wa Miguu wa Waawak Mbeya.

Sunday, June 19, 2022

MPAJU SPORTS INNOVATION WEEK 2022 EVENT

 Mpaju Sports Centre was among the organizers of the Mbeya Regional Edition of Innovation Week Tanzania 2021(IWTz2022) from 9th to 14th May 2022. The main host of the event was Mbeya

Saturday, April 30, 2022

MPAJU FC (ATINISU) WAWAFUNGA ICON FC GOLI MBILI BILA MAJIBU (2-0)

WAMALIZA LIGI YA MKOA - MBEYA KWA KISHINDO

Saturday, April 16, 2022

LIGI YA MKOA MBEYA- MPIRA WA MIGUU KWA WANAWAKE

 MPAJU FC (ATINISU) WAANZA VEMA 

Waifunga Kyela Queens 2-1.