KIKOSI CHA MPAJU ATINISU KILICHOLETA USHINDI NA KUSHIKA NAFASI YA TATU

Hawa ndo vijana walio tung'arisha na bado wanahamu ya kufanya zaidi ya hapa...

Kikosi toto cha Mpaju SC

Hiki ndicho kikosi cha Mpaju SC upande wa watoto kikiwa kwenye ziara katika shule ya msingi Mpolo.

Mpaju FC wakiwa kwenye Picha ya Pamoja

Mpaju FC wakiwa kwenye Picha ya Pamoja wakati wa Tamasha la Mpaju Week 2019 Uwanja vya Magereza Mbeya.

Tuesday, December 25, 2012

Culture/Utamaduni

Culture
Here Culture is more than what human do in the normal life or behave! It also involve the reasons behind all what is being done, (rational mental desires and reasons behind all those undertakings).


Utamaduni!
Utamaduni hapa ni pamoja ni kile ambacho akili yako inatamani au ina uwezo wa kukifanya ili kufikia mafaniakio fulani au kukamilisha jambo fulani katika jamii!