" IWE NA UWEZO WA KUTUFANYA
TUUOGOPE UONGOZI , TUPENDE KUFANYA KAZI NA TULIPENDE TAIFA LETU KULIKO KITU KINGINE CHOCHOTE"
Maana yeyote ambayo mtu atatoa
kuhusu katiba inaweza kwa namna moja au nyingine ikaangukia kwenye maana ya
kuwa KATIBA ni MAKUBALIONA JUU YA MWONGOZO WA JAMII AU TAIFA FULANI. Huwa ni MSINGI wa MUAFAKA katika UTAWALAJI
na UENDESHAJI, wa TAIFA au JAMII husika, na hata kikundi katika kufikia
Mafaniko Bora. Pengine kutokana na uzito wake ndio