1
Sasa mimi naamua,Maji
nguo navulia.
Sifuri ukiijua,
Utaandika na mia.
Bora kiguru na
njia,Tuli bure huumia.
Own Thinking Tank
Hawa ndo vijana walio tung'arisha na bado wanahamu ya kufanya zaidi ya hapa...
Hiki ndicho kikosi cha Mpaju SC upande wa watoto kikiwa kwenye ziara katika shule ya msingi Mpolo.
Mpaju FC wakiwa kwenye Picha ya Pamoja wakati wa Tamasha la Mpaju Week 2019 Uwanja vya Magereza Mbeya.