KIKOSI CHA MPAJU ATINISU KILICHOLETA USHINDI NA KUSHIKA NAFASI YA TATU

Hawa ndo vijana walio tung'arisha na bado wanahamu ya kufanya zaidi ya hapa...

Kikosi toto cha Mpaju SC

Hiki ndicho kikosi cha Mpaju SC upande wa watoto kikiwa kwenye ziara katika shule ya msingi Mpolo.

Mpaju FC wakiwa kwenye Picha ya Pamoja

Mpaju FC wakiwa kwenye Picha ya Pamoja wakati wa Tamasha la Mpaju Week 2019 Uwanja vya Magereza Mbeya.

Friday, October 30, 2015

HAPA KAZI TU



NI "MSEMO" WENYE MANUFAA KWETU VIJANA.
Tusiutupe na Tuutendee Haki.
 Ni kauli ya Raisi Mteule wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr John Pombe Magufuli (Kuanzia tarehe 29 Oktoba 2015). Hongera sana mheshimiwa kwa kuchaguliwa. Kama ilivyo ada, kila mtanzania ana lake la kusema, kutokana na mchakato mzima wa uchaguzi,matarajio na matokeo. Tanki halina hoja juu ya mambo yahusuyo sharia za uchaguzi na siasa zake. Lakini kwenye suala zima la KAULI MBIU YA HAPA KAZI TU, Tanki lina machache ya kuongelea kama sehemu ya kuunga mkono kauli hiyo.Hii haina maana kuwa

Monday, September 14, 2015

Kölner Zoo-Hifadhi Ndogo ya Wanyama ya Kölner, Koloni-Ujerumani



Siku ya tarehe 12 September 2015, nilibahatika kutembelea Kölner Zoo! Hapa ni mahali ambapo Wanyama mbalimbali wa porini wamehifadhiwa pale Koloni-Ujerumani, ili watu waweze

Sunday, July 12, 2015

NATANGAZA YANGU NIA, URAISI KUUSHIKA.



1
NATANGAZA YANGU NIA, YA KWANGU KUWAFANYIA
FUNUNU NIMESIKIA, URAISI UNAWADIA.
SITAKI KUNIZUWIA,NI HAKI KWA MWENYE NIA.
MUHIMU NAULIZIA, KURA MTANIPATIA?
IKULU NAKIMBILIA, VINONO VILOBAKIA.
KWA RAHA NENDE JILIA, PASIPO MUULIZIA.
NATANGAZA KWENU NIA, URAISI NAUTAKA.

Sunday, May 3, 2015

ZENOPHOBIA



1
ZENOPHOBIA JAMANI, UGONJWA AMA USAHA?
AFRIKA YA KUSINI, MISIBA NA MAJERAHA.

Sunday, April 26, 2015

DUNIA YASHEREHEKEA NA MZUMBE SECONDARY SCHOOL

MZUMBE ALUMNI WAHUDHURIA
MAHAFALI YA 46 YA KIDATO CHA SITA 
MZUMBE SECONDARY SCHOOL

Kupitia  taarifa ya Dr. Imani Kondo aliyoitoa kwenye Ukurasa wa Facebook wa Mzumbe High School,