KIKOSI CHA MPAJU ATINISU KILICHOLETA USHINDI NA KUSHIKA NAFASI YA TATU

Hawa ndo vijana walio tung'arisha na bado wanahamu ya kufanya zaidi ya hapa...

Kikosi toto cha Mpaju SC

Hiki ndicho kikosi cha Mpaju SC upande wa watoto kikiwa kwenye ziara katika shule ya msingi Mpolo.

Mpaju FC wakiwa kwenye Picha ya Pamoja

Mpaju FC wakiwa kwenye Picha ya Pamoja wakati wa Tamasha la Mpaju Week 2019 Uwanja vya Magereza Mbeya.

Sunday, December 11, 2016

Building Information Modeling (BIM) Tanzania

NANI ANAIHITAJI ZAIDI?

Mjadala wa Building Information Modeling ni miongoni mwa mijadala mikubwa kwa wakati huu kwenye sekta zinazohusu Majenzi Duniani kote.

Saturday, February 27, 2016

MAJIPU

Tumbua Magu Majipu, Pia Zuia Viini.

Jipu linauma NDUGU, Usiombe likupate.
Halina Jipu undugu,Acha homa ikupate.
Huwa KAMA donda NDUGU,Watu wakutema mate.