LIGI YA MPIRA WA MIGUU KWA WANAWAKE - MKOA WA MBEYA MPAJU ATINISU WATISHA SANAWAWACHABANGA TUKUYU QUEENSNA KUSHIKA NAFASI YA TATUSiku ya Jumapili ya tarehe 07 Machi 2021, historia iliendelea kuandikwa kwa Mkoa wa Mbeya na kituo cha michezo cha Mpaju Sports Centre. H…Read More
KANDANDA SAFI LA MPAJU FC LAWA GUMZO IYUNGA-MBEYA MPAJU FC YAPATA MASHABIKI WENGI VIWANJA VYA TAZARA NA CHUO KIKUU SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST) Pamoja na kupoteza michezo yao yote katika mashindano ya wilaya na ule wa kirafiki na wafanyakazi wa Chuo Ki…Read More
NAJIM ACADEMY BINGWA_TASCA CUP NYANDA ZA JUU KUSINI RUAHA ACADEMY NA MPAJU SC WATAMBA KWA SOKA SAFI LA VIJANA Katibu wa Chama cha Mpira cha Mkoa wa Mbeya, Ndg Lucas Kubaja akiwakagua vijana wa Mpaju SC U-17 kabala ya Mchezo wao wa Fainali dhidi ya Najim Academy (Ma…Read More
HDIF Innovation Week 2021 -Mbeya Edition (Football Event)MPAJU SPORTS CENTRE YATOA BURUDANI NZITO MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY (MUST)Katika Kuadhimisha Maonyesho ya Ubunifu ya Kitaifa kwa Mkoa wa Mbeya (HDIF Innovation Week 2021), Mpaju Fc walialikwa kuunga…Read More
0 comments:
Post a Comment