Saturday, May 6, 2023

MPAJU FC QUEENS (ATINISU) YAANZA VEMA LIGI A MKOA WA MBEYA 2023/2024

 YAIFUNGA ILEMI QUEENS 2-0 

Kikosi cha Mpaju FC Queens na Kocha David Saimoni, wakiwa tayari kuwakabili Ilemi FC Queens (Namba 30-Hidaya Zuberi-Mfungaji wa Magoli yote ya Mpaju FC)




Wachezaji ,Viongozi na Mashabiki wa Mpaju FC wakiwasikiliza Makocha wakati wa Mapumziko




Hata Hivyo, Mechi haikuwa Nyepesi Ilemi walikuwa na timu nzuri kuliko ilivyotarajiwa na wengi kutokana na kutokuwa na uzoefu katika mashindano haya tofauti na Mpaju FC Hakika ligi hii inazidi kuwa bora sana Hongera kwa Uongozi wa Mpira wa Miguu wa Waawak Mbeya.

5 comments:

  1. One step ahead ✊🏿
    Big up team

    ReplyDelete
  2. Upendo nizam kujitolea Mbinu sahihi Ya mchezo hasa uwepo wa bench imala sAibog ,husen muya,tch mpaju
    Ni ngzo kubwa
    Pongez sana

    ReplyDelete
  3. Hongeren sana walimu wangu na benchi la ufund Kwa ujumla mwanzo mzur,pia niwapongeze wachezaj Kwa kupambana

    ReplyDelete
  4. Nidham ya wachezaji ndio itakayo leta mafanikio mpaju Atinisu

    ReplyDelete