Saturday, November 6, 2021

GRACE FC CUP MBEYA 2021

MPAJU FC U-15 

YATWAA UBINGWA KIBABE

 YAICHAPA NEW TALENT ACADEMY 3-0

Mwenyekiti wa Mpira Wilaya Mzee Gondwe akikabidhi Jezi na Mpira kwa Mabingwa wa Grace Cup 2021-Mpaju FC U-15.

Picha ya Pamoja ya Mpaju Fc, New Talent na Wasimamizi wa Grace Cup 2021 Mbeya

mpaju Fc -U-15 katika picha ya Pamoja kabla ya kuwavaa New Talent Academy (Mabingwa wa Mpaju Cup 2021)

Mpaju FC U-15, wakiendelea na sherehe baada ya kupewa Vinywaji na Wadau kutoka  Washauri wa kitaalamu kwenye mambo ya ujenzi Mbeya na Afrika Mashariki (MALK CONSULTANTS LTD) na MTAALAMU mbobezi wa Ujenzi unaohusu VYUMA hapa Mbeya, Maarufu kama JIWE.

 

1 comment:

  1. Mpaju nitumie fursa hii kuwapongezeni mmefanya kitu kizuri mnastairi pongezi na makofi mengi I can't wait mpaju day
    By.......
    @mwalimsheyo

    ReplyDelete