Saturday, January 8, 2022

MPAJU FC YAKAMILISHA USHIRIKI WA TASCA CUP

 MPAJU WEEK 2021 IKO PALE PALE

Mpaka sasa wadau wa soka wa Mkoa wa Mbeya wanajiuliza kulikoni, Mwaka huu hakuna Mpaju Week 2021 au Mpaju Day 2021? 

Jibu ni kuwa Kituo cha Mpaju SC kimekuwa katika ushiriki wa TASCA CUP taifa na hivyo kupelekea ugumu wa maandalizi ya maazimisho ya Mwaka kama ilivyo kawaida yao. TASCA CUP imekwisha na MPAJU WEEK 2021 IKO PALE PALE, KAA TAYARI.


 





 
 







0 comments:

Post a Comment