MPAJU FC U-15
YATWAA UBINGWA KIBABE
YAICHAPA NEW TALENT ACADEMY 3-0
![]() |
Mwenyekiti wa Mpira Wilaya Mzee Gondwe akikabidhi Jezi na Mpira kwa Mabingwa wa Grace Cup 2021-Mpaju FC U-15. |
![]() |
Picha ya Pamoja ya Mpaju Fc, New Talent na Wasimamizi wa Grace Cup 2021 Mbeya |
![]() |
mpaju Fc -U-15 katika picha ya Pamoja kabla ya kuwavaa New Talent Academy (Mabingwa wa Mpaju Cup 2021) |
Mpaju nitumie fursa hii kuwapongezeni mmefanya kitu kizuri mnastairi pongezi na makofi mengi I can't wait mpaju day
ReplyDeleteBy.......
@mwalimsheyo