MPAJU FC ATINISU VS ICON FC QUEENS
UBAYA UBWELA yahamia KUKAYE NDONDO CUP-MBEYA-UWANJA WA MWEGE. Mpaju Queens yatoa salamu kwa watani wake wa jadi ICON QUEENS. YAWABAMIZA 3-1, WAKUJIOKOTA QUEENS wakimbia uwanjani. Mpaju FC Queens, wanawakumbusha
WATANI WAO WA JADI ICON QUEENS kuwa siku ya Jumatatu tarehe 19 August 2024, ni siku ya "UBAYA UBWELA",hawataua undugu kutokana na kulazimishwa mechi hiyo kuahirishwa,bali watatonesha vidonda vyote.MPAJU FC QUEENS (a.k.a ATINISU) KUKAYE NDONDO CUP 2024 MBEYA. |
Mpaju wanatuma salamu kwa ICON QUEENS kuwa UBAYA UBWELA , na kuwataarifu kuwa wataanzia PALEPALE ( MPAJU FC QUEENS (ATINISU) WACHEZA NA KUSHINDA KAMA MABINGWA HALISI WA MKOA WA MBEYA ~ Mpaju Sport Centre), lengo ni kulipiza kisasi cha kipigo kikubwa cha 2021 (LIGI YA MPIRA WA MIGUU KWA WANAWAKE- MKOA WA MBEYA ~ Mpaju Sport Centre) ambacho hakikupatikana kwenye ligi (MPAJU FC (ATINISU) WAWAFUNGA ICON FC GOLI MBILI BILA MAJIBU (2-0) ~ Mpaju Sport Centre) na (LIGI YA MPIRA WA MIGUU WANAWAKE 2022/23-MBEYA ~ Mpaju Sport Centre)
UNAIKOSAJE MECHI KAMA HII?
MPAJU ATINISU WANASEMA
UHOLO SAGUMALIHA
LAKINI
UBAYA UBWELA
0 comments:
Post a Comment