Thursday, October 22, 2020

 MPAJU WEEK 2020

“JAMII YETU-KIOO CHETU”

Kauli mbiu ya Mpaju Week 2020 ni JAMII YETU NDIO KIOO CHETU. Mpaju SC inaamini changamoto zinazoizunguka jamii yetu zinatokana na kushindwa KWETU kuzitatua. Mpaju SC inaikifikishia jamii fikra ya kujiona yenyewe ndani ya JAMII YETU. Kama Mtoto wa leo ni mzazi wa

kesho; basi kuna kila sababu ya kuamini tuyafanyayo na tuyatoayo ndio asilimia kubwa ya SISI TULIVYO.Tofauti KIDOGO haziwezi kukosa, lakini MSC inaamini kuwa itatusaidia kuwa na maamuzi sahihi kama tutajitazama hivyo pia.

Mpaju Week 2020 inakuja na JAMBO kubwa katika MPIRA WA MIGUU WA WASICHANA NA WANAWAKE MBEYA NA TANZANIA KWA UJUMLA. Njoo ujionee KINADADA WA MBEYA WANAVYOTANDAZA SOKA. Super Eagle, Mpaju FC, Icon, Mpolo na GariJembe.....! Mdau na Mpenzi wa HUWEZI KUPANGA KUKOSA.           


Mpaju FC (Wasichana) aka ATINISU ( Wasichana/Wanawake Shupavu na  Mashujaa)


ICON Wasichana
Super Eagle FC Wasichana


Mpolo Girls vs Mpaju FC (Girls) Ukaguzi

Mpaju FC aka ATINISU vs Mpolo Girls

Mpolo Girls  vs Mpaju

Mpolo Girls vs Mpaju Mapambano katika Mpira wa Kona

            KAA TAYARI:15-22 DISEMBA 2020

0 comments:

Post a Comment