"Baadhi
ya wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakitumbuiza kwa mara ya kwanza
baada ya mwanamziki mkongwe wa bendi hiyo muhidini Gurumo kustaafu
kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe,Saidi Mabera,Juma Katundu
na Mustafa Pishuu." Chanzo:- burudani.blog
Picha na Basahama.Blog na Burudani.blog
Ni VIGUMU kuelewa pale tunapofahamu fika mchango wa BENDI na WANAMUZIKI kama GURUMO kwenye muziki na utamaduni wa nchi hii! Na bado Taifa Kudiriki kuwasahau kabisa!!!!!
Sio bure, kuna kitu kimejificha hapo. Mwanamuziki wa Bongo Flava, siku kadhaa tu BILIONAIRE, wakati wale wa muziki wetu wa asili, miaka nenda kipato kinasumbua. Ukiuliza,jibu ni soko la MUZIKI ndio linaamua!!! Nani anayeweza kulirekebisha soko, ili kuboresha nyumbani? Tumeitupa Zamani,Tutajuaje mbeleni?
Picha Burudani.blog
Sunday, August 25, 2013
Home »
» Msondo ngoma, wanaweza sana!!!!!
Msondo ngoma, wanaweza sana!!!!!
Sunday, August 25, 2013
No comments
MSONDO NGOMA: BABA YA MUZIKI TANZANIA.
Related Posts:
"KABILA" 800x600 Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE … Read More
WA NDOA NANI MWALIMU? 800x600 Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE … Read More
NDOTO YANGU 2014 800x600 Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE … Read More
UJIFUNZE KUWA MTU, SIO MTU BORA KITU 800x600 Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE … Read More
Mnyonge nyi mnyongeni,Na Haki yake Mpeni 800x600 Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE … Read More
0 comments:
Post a Comment