Usiseme “MPAJU DAY”,
Sema
“MPAJU WEEK 2019, HATUA NI HATUA”
Kauli mbiu ya Mpaju SC, ni BURUHANI INA MAMLAKA. Ikiwa na maana rahisi tu ya kuamini, kuwa
binadamu, na hasa watoto wadogo na vijana wa kitanzania, wanayo nafasi ya
kutumia vipawa walivyopewa na muumba kuweza kufikia malengo yao,ya kinchi na kidunia, na hivyo kufanya mazingira
yanayowazunguka kuwa sehemu bora na za furaha kuishi.
Kwa sasa MSC, imefanikiwa kusajili timu ya Mpaju FC kwa
namba 12029 ya tarehe 5 Machi 2018. Lakini
Zaidi, Mpaju inajivunia sana, kupata baadhi ya vijana ambao wazazi wao
wamekubali kuandika mikataba ili watoto wao waweze kuwa wanampaju halisi. Hili
si jambo dogo kwetu na kwa upekee kabisa tunapenda kuwashukuru na kuwakaribisha
wazazi wengine. HATUA NI HATUA, iwe ndogo au kubwa, muhimu kwetu ni kusogea
mbele kuelekea katika ndoto yetu ya kuwa kituo bora dunia cha uendelezaji wa
vipawa, hasa kupitia michezo.
Utamaduni wa Mpaju SC ni kuazimisha siku ya Mpaju, kila
ifikapo mwisho wa mwaka, yaani tarehe 31 Disemba, kwa kufanya tamasha dogo na
kuwakaribisha wadau mbalimbali. Mwaka huu, tamasha hili linatarajiwa kufanyika
kwa wiki nzima, kuanzia tarehe 27-31 Disemba 2019 , ili kuruhusu timu nyingi kushiriki, kitu
ambacho ni kati ya changamoto za tamasha la mwaka jana. Mpaju SC inaamini
changamoto ni sehemu ya maisha, hivyo kwa kushirikiana na wadau, tamasha la
mwaka huu linatarajiwa kufanikiwa zaidi. Kuanzia Wiki Hii ya tarehe 18th Disemba 2019, uongozi wa Mpaju Sports Centre tayari umeanza utaratibu wa kutoa barua za mialiko kwa timu shiriki ikiwa ni pamoja na kufuatilia taratibu za kuendesha tamasha na kutumia uwanja mkubwa kuliko yote jijini Mbeya, yaani UWANJA WA SOKOINE. Mwaka huu Ratiba inatarajiwa kuwa ifuatavyo. Kwa kutumia ratiba hii tunaamini, Uongozi wa MSC unapenda kuwaalika wadau woote kuhakikisha wanachukua mwaliko mapema. Kwa mawasiliano zaidi juu ya upatikanaji wa Barua za mwaliko, tumia namba zilizopo chini ya Jedwali
RATIBA YA TAMASHA LA
"MPAJU WEEK"-31 DISEMBA 2019
|
||||
SIKU YA KWANZA-27
DISEMBA
|
||||
Namba ya Tukio
|
Tukio
|
|
Wahusika
|
Muda
|
1
|
KUKUSANYIKA
|
|
Timu,
Viongozi na Wageni
|
0800-0900
|
2
|
Kupanga
na Kuratibu
|
|
Timu,
Viongozi na wageni
|
0900-0930
|
3
|
Mashindano
ya Mpira wa Miguu
|
i
|
U-12
Mechi 1
|
0945-1030
|
|
|
|
||
ii
|
U-12
Mechi 2
|
1045-1130
|
||
|
|
|
||
|
|
|
||
iii
|
U-12
Mechi 3
|
1145-1230
|
||
|
|
|
||
iv
|
U-12
Mechi 3
|
1245-1330
|
||
|
|
|
||
4
|
Kufunga
Siku ya Kwanza
|
|
Mgeni
Maalumu
|
1345-1430
|
|
|
|
|
|
SIKU YA PILI-28
DISEMBA
|
||||
1
|
KUKUSANYIKA
|
|
Timu,
Viongozi na Wageni
|
0800-0900
|
2
|
Kupanga
na Kuratibu
|
|
Timu,
Viongozi na wageni
|
0900-0930
|
3
|
Mashindano
ya Mpira wa Miguu
|
i
|
U-15
Mechi 5
|
0945-1030
|
|
|
|
||
ii
|
U-15
Mechi 6
|
1045-1130
|
||
|
|
|
||
iii
|
U-15
Mechi 7
|
1145-1230
|
||
|
|
|
||
iv
|
U-15
Mechi 8
|
1245-1330
|
||
|
|
|
||
4
|
Kufunga
Siku ya Pili
|
|
Mgeni
Maalumu
|
1345-1430
|
|
|
|
|
|
SIKU YA TATU-29
DISEMBA
|
||||
1
|
KUKUSANYIKA
|
|
Timu,
Viongozi na Wageni
|
0800-0900
|
2
|
Kupanga
na Kuratibu
|
|
Timu,
Viongozi na wageni
|
0900-0930
|
3
|
Mashindano
ya Mpira wa Miguu
|
i
|
U-15
Mechi 9
|
0945-1030
|
|
|
|
||
ii
|
U-15
Mechi 10
|
1045-1130
|
||
|
|
|
||
iii
|
U-15
Mechi 11
|
1145-1230
|
||
|
|
|
||
iv
|
U-15
Mechi 12
|
1245-1330
|
||
|
|
|
||
4
|
Kufunga
Siku ya Tatu
|
|
Mgeni
Maalumu
|
1345-1430
|
|
|
|
|
|
SIKU YA NNE-30 DISEMBA
|
||||
1
|
KUKUSANYIKA
|
|
Timu,
Viongozi na Wageni
|
0800-0900
|
2
|
Kupanga
na Kuratibu
|
|
Timu,
Viongozi na wageni
|
0900-0930
|
3
|
Mashindano
ya Mpira wa Miguu
|
i
|
U-17
Mechi 13
|
0945-1030
|
|
|
|
||
ii
|
U-17
Mechi 14
|
1045-1130
|
||
|
|
|
||
iii
|
U-17
Mechi 15
|
1145-1230
|
||
|
|
|
||
iv
|
U-17
Mechi 16
|
1245-1330
|
||
|
|
|
||
4
|
Kufunga
Siku ya Nne
|
|
Mgeni
Maalumu
|
1345-1430
|
SIKU YA TANO-31
DISEMBA
|
||||
1
|
KUKUSANYIKA
|
|
Timu,
Viongozi na Wageni
|
0800-0900
|
2
|
Kupanga
na Kuratibu
|
|
Timu,
Viongozi na wageni
|
0900-0930
|
3
|
Mashindano
ya Mpira wa Miguu
|
i
|
U-12
Mechi 17
|
0945-1030
|
|
|
|
||
ii
|
U-15
Mechi 18
|
1045-1130
|
||
|
|
|
||
iii
|
U-17
Mechi 19
|
1145-1230
|
||
|
|
|
||
iv
|
A-17
Mechi 20
|
1245-1330
|
||
|
|
|
||
4
|
Kufunga
Siku ya Tano
|
|
Mgeni
Maalumu
|
1345-1430
|
Kocha Mkuu- 0713 012271(Abdallah Athumani Kiyumbu)
0 comments:
Post a Comment