Home »
» NAJIM ACADEMY BINGWA_TASCA CUP NYANDA ZA JUU KUSINI
Saturday, July 03, 2021
 |
Katibu wa TASCA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Anyimike Mshani) Akitoa nasaha zake kabla ya kumkaribsha Mwenyekiti Ally Msingwa aweze kufunga Mashindano hayo kwa hatua ya Kanda.
|
 |
Makocha wa Mpaju Sports Centre- Ali Mkumbukwa (Kushoto) na Kassim Madodi (kulia wakiangalia kwa Makini Mashindano |
 |
Kutoka Kushoto Ally Msigwa (Mwenyekiti TASCA Kanda), Katibu wa Mpira Mkoa (Lucas K. Kubaja) na Katibu TASCA Kanda (anyimike Mshani). |
 |
Young Stars Kutoka Iringa |
 |
Mpaju Sports Centre U-17 Washindi wa Pili |
 |
Waamuzi wakiwa na Wachezaji wa U-15 |
 |
NAJIM Academy kutoka Keyela -Mabingwa U-17 |
 |
Makambako City Academy U-17 |
 |
Ruaha Academy U-15 |
 |
Yosso Soccer Academy U-15 Kutoka Vwawa Mbozi |
 |
Super Power U-15 Kutoka Tunduma Songwe- Mabingwa wa U-15 |
 |
Mpaju Sports Centre U-15 |
0 comments:
Post a Comment