Friday, May 28, 2021

HDIF Innovation Week 2021 -Mbeya Edition (Football Event)




MPAJU SPORTS CENTRE YATOA BURUDANI NZITO 
 MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY (MUST)

Katika Kuadhimisha Maonyesho ya Ubunifu ya Kitaifa kwa Mkoa wa Mbeya (HDIF Innovation Week 2021), Mpaju Fc walialikwa kuungana na timu mbalimbali katika viwanja vya MUST Mbeya. Kamailivyo kawaida yao, vijana wa Mpaju FC waliangusha la burudani ya Mpira wa Miguu ambao wengi walikiri kuwa sio burudani a kiwango cha nchi zinazoendelea. Baadhi ya picha za matukio ni kama ifuatavyo:
Mpaju FC atinisu wakiwa  katika picha ya pamoja na makocha wao na
baadhi ya wachezaji wa MUST Queens

Mpaju FC U-12/U15 walioonyesha kandanda saaafi na kuwaacha
MUST Staff wakijiuliza, ni kwa nini hamna timu ya watoto pale MUST

Mpaju FC na ICON FC wakitoka uwanjani baada ya mchezo wao (ICON wakishinda kwa 1-4)




Wabunifu wa MUST wakielezea kazi zao Kwa Mwalimu wa Mpaju Fc Ali Mkubukwa na Mmoja wa wachezaji wa Mpaju FC U-12 

Wanafunzi wa Iyunga Secondary wakisikiliza Moja ya kazi nzuri za Ubunifu kutoka MUST wa kifaa cha kusaidia ulipaji wa bili za umeme kwa kutumia Mita moja kwa watumiaji wengi.

Wajasiriamali wa MUST wakiwa na mazao ya Kazi zao kwenye maonyesho

Mbeya Business Connection- Moja Kati ya kazi nzuri sana zinazofanywa ni hii ya Maswala yahusuyo Samaki. Ufugaji, Uaandaji wa Mabwawa ya Kufugia samaki aina mbalimbali. Hakika Maonyesho haya HDIF yamedhihirisha kuwa tunaweza kuutokomeza ufukara. 

Mpaju FC wakiwasili Uwanjani-MUST

MUST  Queens 
Mpaju FC U-12

Mpaju FC U-12/U-15


Mpaju FC U-15

Mpaju FC U-17 wakijiandaa kuwavaa MUSTISO Team


Ali Mkumbukwa (Kocha Mpaju FC na mwenyekiti wa Kikundi cha kijamii cha Mpaju Sports Group) akipokea Cheti cha Ushiriki mkuu katika kuhakikisha Bonanza hili linafana


Viongozi wa Mpaju Sports Centre wakitafakari juu ya maonyesho ya HDIF yalivyofana na maneno mazito yaliyotolewa na wadau mbalimbali

ICON FC (Mabingwa wa mkoa kwenye mpira wa miguu kwa wanawake) 
wakitoka MUST kwenye wiki ya HDIF innovation 

Mpaju Sport Club tukiwa mbioni kumsajiri kijana huyu katikati na 
mazungumzo ya usajili huo yamesha anza.



0 comments:

Post a Comment