Monday, May 10, 2021

KANDANDA SAFI LA MPAJU FC LAWA GUMZO IYUNGA-MBEYA

 MPAJU FC YAPATA MASHABIKI WENGI VIWANJA VYA TAZARA NA CHUO KIKUU

SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST)  

Pamoja na kupoteza michezo yao yote katika mashindano ya wilaya na ule wa kirafiki na wafanyakazi wa Chuo Kikuu Sayansi na Teknolojia Mbeya, Mpaju FC wameondoka mashujaa wanaohitajika na timu mbalimbali katika eneo la Iyunga- Mbeya. Hii ni kutokana na aina ya mchezo wa kutandaza soka la kisasa linaloakisi lengo la kukuza vipaji ya vijana katika mchezo wa soka hapa nchini.

Matukio katika Picha 

Kocha Mchezaji Rajabu Ndelel akiongoza Swala kabla ya Mchezo

Msimamizi wa mchezo akimalizia kukagua Benchi la Mpaju FC

Mpaju Fc wakiwa Uwanja Bora kabisa wa MUST

Upashaji wa misuli Moto kabla ya Kuwakabili Jajojo FC

Kepteni wa MUST Staff akisalimiana na Kepteni wa Mpaju FC (Steven Mapunda) kabla y kuanza mechi bora sana ya kirafiki pale MUST



Timu ya MUST Staff wakijiuliza jinsi gani wanaweza kuwakabili Mpaju FC kabla kuanza kwa mchezo 

AHSANTENI SANA WADAU WOTE WA SOKA NA TIMU KWA MIALIKO TUNAYOPATA,TUNAAHIDI KUJA KULETA BURUDANI ENEO LA IYUNGA-MBEYA

Related Posts:

  • SABUNI BORA TOKA TUKUYU-RUNGWE, TANZANIA.  Photo By Hussein Mjasiriamali AZA HERBAL MEDICATED SOAP. Ni sabuni ya asili iliyotengenezwa kutumia vitu vya asili kama tunda la PARACHICHI. Ndani ya tunda hili kuna maji kiasi kidogo sana ukilinganisha na matu… Read More
  • SIMBA UJASIRI NDIO SILAHA YETU YA KWELI  Kujitegemea na Kuthamini MASHABIKI ndio MSINGI wa mafanikio ya KWELI ya timu YETU. Lazima tujifunze kuanzia PALE TULIPO. Tuanze na uwezo wetu, ili tuinuke kwa pamoja, WASHABIKI N… Read More
  • MAJI YA KISIMANI,UTHAMANI FIKIRANI Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE … Read More
  • TQM FOR TANZANIAN EDUCATION QUALITY IMPROVEMENT Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 … Read More
  • NYERERE BABA WA TAIFA WA KUJIVUNIA ulius Nyerere pictured on January 31, 1985 in Dar es Salam, Tanzania. PHOTO | FILE  NATION MEDIA GROUP "Nadhani hakupaswa Kung'atuka" Nilibahatika kukutana na (BIBI Theresa) ambaye alitem… Read More

0 comments:

Post a Comment