Sunday, August 25, 2013

Msondo ngoma, wanaweza sana!!!!!

 "Baadhi ya wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakitumbuiza kwa mara ya kwanza baada ya mwanamziki mkongwe wa bendi hiyo muhidini Gurumo kustaafu kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe,Saidi Mabera,Juma Katundu na Mustafa Pishuu." Chanzo:- burudani.blog

 
Picha na Basahama.Blog na Burudani.blog
Ni VIGUMU kuelewa pale tunapofahamu fika mchango wa BENDI na WANAMUZIKI kama GURUMO kwenye muziki na utamaduni wa nchi hii! Na bado Taifa Kudiriki kuwasahau kabisa!!!!!

Sio bure, kuna kitu kimejificha hapo. Mwanamuziki wa Bongo Flava, siku kadhaa tu BILIONAIRE, wakati wale wa muziki wetu wa asili, miaka nenda kipato kinasumbua. Ukiuliza,jibu ni soko la MUZIKI ndio linaamua!!! Nani anayeweza kulirekebisha soko, ili kuboresha nyumbani? Tumeitupa Zamani,Tutajuaje mbeleni?


 
Picha  Burudani.blog


MSONDO NGOMA: BABA YA MUZIKI TANZANIA.

0 comments:

Post a Comment