Culture
Here Culture is more than what human do in the normal life or behave! It also involve the reasons behind all what is being done, (rational mental desires and reasons behind all those undertakings).
Utamaduni!
Utamaduni
hapa ni pamoja ni kile ambacho akili yako inatamani au ina uwezo wa
kukifanya ili kufikia mafaniakio fulani au kukamilisha jambo fulani
katika jamii!
Mfano!
Nilialikwa katika mlo fulani na vyombo vilvyotumika ni vya
(udongo). Nikaambiwa vyombo hivyo vimetunzwa kwa karibia karne moja kwa wakati huo! Je huo ni
utamaduni? Na kama
ni utamaduni,basi kwa maana ya Tanki, ni kuwa utamaduni haushii hapo kwenye utunzaji, bali ni pamoja na malengo/sababu za utunzaji huo. hii ni kutokana na kuamini kuwa kujua na kusifia utunzaji ule tu hakutatosha,bali pia funzo la utunzaji na nia ya utunzaji huo vikipatikana itakuwa vizuri zaidi!

Whether wearing poorly or nicely, the way we build,the way talk,the way we eat,the way we respect each other, singing national anthem or not, having national identities or not, and the like; imply culture is not enough; Tank's culture ,adds "the mental reasoning behind it".
Happy X-Mass and New Year! "Remember the way you celebrate (Too much drinking/totozi/kanisani,na familia &.... (and whatever good you call it your culture), is not enough, the mental reasoning behind is very crucial".
NB: Lugha ni kwa ajili ya kusisitiza/the Languages are used only to insist. If it is our culture then...........
Je, kuna umuhimu kuwa na Blogu hii au lah!? Kwa nini?/ Do we need this Blog? Why?
0 comments:
Post a Comment