Wednesday, December 26, 2012

Quality& Mentality/Fikra &Ubora



"Quality here   is 
Excellent Performance under available resources 
and 
mentality is just the mind set/way of thinking. 

Ubora unaozungumziwa hapa ni kufikia kiwango kamilifu,kufuatana na rasilimali zilizopo! Na Fikra ni mawazo/utashi na mitazamo katika tafakuri za utatuzi wa mambo.


Mfano: Tuko kwenye sherehe/sikukuu. Tunahitaji Kula chakula tofauti.Kama utamaduni wetu!Tukiwa pamoja na marafiki,familia n.k? Pesa sina,nikikopa nikanunua ng’ombe mzima na kunywa bia ili wanione! Na kudhoofisha maisha yangu ya usoni, sio ubora unaongelewa,hapa.
Japo nimekamilishamahitaji yangu ya sikukuu! Ila nikikopa kiasi cha wali na soda! Na kuhakikisha siyumbishi maisha mbeleni,huo ndio ubora! Au la, Nasema Tutakula kama kawaida na hakuna kwenda kwa jirani! Full stop!

Unahisi kama ndio tunaelekea mwisho! No hata kuanza bado!
  
Quality Culture Mentality  

Tanki linatumia pia Utamaduni  kama muongozo kwa kuamini kuwa UTAMADUNI WETU HASA NDIO SISI,HIVYO KUUPENDA NI KUJIPENDA NA KUUJALI NI KUJIJALI NA KAMA KUNA KUUBORESHA BASI NI KUJIBORESHA.

Tanki LINAAMINI Tanzania ina utamaduni,mimi NA WEWE  pia tuna utamaduni wetu!Uwe mzuri au mbaya,unalipa haulipi, bado sisi ndio tunajua ni kwa nini tunaushikilia!
Kutoka/From GOOGLE Search: frank.mtsu.edu/~jbwallae/1010/lectur04.htm
Utamaduni wa jamii unahusu lugha/ Language, Norms/Taratibu, Values/Mila/Desturi/Miiko, Beliefs and ideologies/Imani na Mitazamo, Social Collectives/Vijikundi vya kijamii, Statuses and Roles/Hadhi na Nyadhifa, Cultural Integration/Ujumla wa kijamii.
Vingine kama Vita/Majesh na Ujenzi pia vinaweza kuhusishwa humo pia.Tanki linaamini kupitia HAYO kama vichwa hivyo vya habari, hutakosa cha AMA KUJIFUNZA AU KUJIKUMBUSHA .
So now you are full aware of what Mpaju Blog is all about! Do we need this? Why?
Mpaka hapo,lazima utakuwa umeelewa Blogu ya Mpaju inalengo gani!
Je tunahitaji Blogu hii au Lah! Kwa nini?

0 comments:

Post a Comment