Kwenye Mkasi na Profesor J!!
http://www.youtube.com/watch?v=-8rXXIpmPa0, Salama Jabri akiendesha vizuri kipindi hiki, mengi mazuri aliyaongea mwanamuziki mkongwe na bora wa muziki wa HIP-HOP, Professor J.
YOTE, Nimeyapenda ila kidoooooooogo, kwenye hili moja! "Kila anachofanya Mwan HIP-HOP hapa TANZANIA kwa sasa, mimi NIMEKWISHA FANYA". Profesor J, hapo tutake radhi mashabiki wako na hasa wa Hip Hop! Hasa nikisikiliza nyimbo kama NJE YA BOX ya NIKKI wa pili http://www.youtube.com/watch?v=djSJz4T6tcU, na DEAR Gambe wa Dogo Young Killer!!!!!!!!!!!!
Monday, June 24, 2013
Home »
» Prof J! Hii Hapana
Prof J! Hii Hapana
Monday, June 24, 2013
No comments
Related Posts:
HDIF Innovation Week 2021 -Mbeya Edition (Football Event)MPAJU SPORTS CENTRE YATOA BURUDANI NZITO MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY (MUST)Katika Kuadhimisha Maonyesho ya Ubunifu ya Kitaifa kwa Mkoa wa Mbeya (HDIF Innovation Week 2021), Mpaju Fc walialikwa kuunga… Read More
NAJIM ACADEMY BINGWA_TASCA CUP NYANDA ZA JUU KUSINI RUAHA ACADEMY NA MPAJU SC WATAMBA KWA SOKA SAFI LA VIJANA Katibu wa Chama cha Mpira cha Mkoa wa Mbeya, Ndg Lucas Kubaja akiwakagua vijana wa Mpaju SC U-17 kabala ya Mchezo wao wa Fainali dhidi ya Najim Academy (Ma… Read More
LIGI YA MPIRA WA MIGUU KWA WANAWAKE- MKOA WA MBEYAMPAJU FC (a.k.a ATINISU) WAANZA KWA KUKUBALI KIPIGO CHA MAGOLI 9 KWA 1 Tarehe 01 Machi 2021 kulifanyika tukio la kihistoria kwa wanasoka wa Mkoa wa Mbeya. Ligi ya Mkoa kwa Mpira wa Miguu wa Wanawake ilianza ras… Read More
LIGI YA MPIRA WA MIGUU KWA WANAWAKE - MKOA WA MBEYA MPAJU ATINISU WATISHA SANAWAWACHABANGA TUKUYU QUEENSNA KUSHIKA NAFASI YA TATUSiku ya Jumapili ya tarehe 07 Machi 2021, historia iliendelea kuandikwa kwa Mkoa wa Mbeya na kituo cha michezo cha Mpaju Sports Centre. H… Read More
KANDANDA SAFI LA MPAJU FC LAWA GUMZO IYUNGA-MBEYA MPAJU FC YAPATA MASHABIKI WENGI VIWANJA VYA TAZARA NA CHUO KIKUU SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST) Pamoja na kupoteza michezo yao yote katika mashindano ya wilaya na ule wa kirafiki na wafanyakazi wa Chuo Ki… Read More
0 comments:
Post a Comment