MZUMBE ALUMNI WAHUDHURIA
MAHAFALI YA 46 YA KIDATO CHA SITA
MZUMBE SECONDARY SCHOOL
Kupitia taarifa ya Dr. Imani Kondo aliyoitoa kwenye Ukurasa wa Facebook wa Mzumbe High School,
Hii ilikuwa ni siku ya graduation ya 46 ya form six Mzumbe. Wana alumni wlihudhuria kwenye graduation na pamoja na mambo mengine
walikabidhi vyoo vilivyokarabatiwa kwa michango yao .
..................... matukio ya graduation live yaalipatikana kupitia Mzumbe TV ambayo iliwekwa
hewani mara wana alumni walipofika Mzumbe na kuunganisha mitambo.
Hongereni wazumbe wote kwa umoja unaozaa matunda...
Taarifa iliyoendelea iligusia kuwa
....................Sherehe za mahafali ya 46 ya kidato cha sita zilizofanyika tarehe 25.4.2015 zilifana na kuwa na mafanikio ya kihistoria.
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Mzumbe, mgeni rasmi alitokana na jumuiya ya alumni.
Katika sherehe hizo tulikabidhi majengo mawili ya vyoo (moja Shaban Robert na lingine Karume) yaliyokarabatiwa na alumni.................................!
KWA
Picha zaidi na taarifa zaidi, tafadhali tembelea ukurasa wa facebook
/////// https://www.facebook.com/groups/287976444661584/730440460415178/?comment_id=730607580398466¬if_t=like//////////
TANKI linaunga mkono jitihada ya namna hii, kwa kweli
-Watawala wana bahati sana, kwa sababu wananchi wao huwa hawafikiri-,Hitler.
MUNGU IBARIKI MZUMBE MUNGU IBARIKI TANZANIA

0 comments:
Post a Comment