Saturday, April 16, 2022

LIGI YA MKOA MBEYA- MPIRA WA MIGUU KWA WANAWAKE

 MPAJU FC (ATINISU) WAANZA VEMA 

Waifunga Kyela Queens 2-1.

 NEEMA RAPHAEL (POGBA) ( Wa Tatu kutoka Kulia,waliosimama) NA YACINTA (YANTE) (Wa Pili kutoka Kulia,waliopiga goti) ndio waliopeleka tahadhari Kyela leo.


Mmoja wa Viongozi-akiwa na wachezaji wa Mpaju kabla ya Mchezo

Mmoja wa Viongozi akiwa na wachezaji wa Kyela Queens kabla ya Mchezo

MPAJU FC a.k.a ATINISU baada ya kutwaa Ushindi  dhidi ya Kyela Queens. Hakika haikuwa rahisi.


0 comments:

Post a Comment