Sunday, December 23, 2012

Own Thinking Tank/Tanki la Fikra


Nakubaliana na wewe kuwa pengine hakutakuwa na jipya katika hii Blogu
ila
Si kila tunalolijua tunalielewa vizuri
na
'uongeaji bora huboreshwa na usomaji bora, usikilizaji bora na uongeaji bora'


'Tanki la Fikra', ni mkusanyiko wa kufikirika wa fikra bora ambao ni kama tayari upo kwenye hii Blogu,yaani kupitia washiriki wake mbalimbali.  Tanki hili linaamini kuwa,'Watu hufanya kitu kwa ufanisi mkubwa wanapokuwa wanaamini na kukubali kwa dhati kutoka katika fikra zao!'Hivyo  basi, ukiweza kuboresha fikra za watu hao tayari utakuwa umewapatia uelekeo mzuri wa kimafanikio. Mafanikio bora ndio kitu ambacho wote kama wanadamu wa kawaida tunakihitaji,hasa katika hii dunia iliyojaa ukatili na mabadiliko yatokanayo na utandawazi.Kwa hiyo,kama mwenzetu,tunaomba ushiriki kikamilifu katika Tanki letu hili.Njoo tuokoe maisha yetu,ya familia zetu na Taifa letu kwa kupitia mapinduzi ya Ubora wa Fikra kwa pamoja. 

 Uko tayari? kwa nini unafikiri uko au hauko tayari?

Related Posts:

  • Mpaju Sports Centre Day- 31st Disemba 2019 Usiseme “MPAJU DAY”, Sema “MPAJU WEEK 2019, HATUA NI HATUA” Kauli mbiu ya Mpaju SC, ni BURUHANI INA MAMLAKA. Ikiwa na maana rahisi tu ya kuamini, kuwa binadamu, na hasa watoto wadogo na vijana wa kitanzania, wanayo… Read More
  • KHERI YA SIKUKUU YA EID EL FITRIKatika kuhitimisha mfungo Mpaju Sports Centre iliandaa futari ya pamoja kama inavyoonekana katika picha. Mbali na tukio hili kulenga kuhitimisha mfungo, pia ilitumika kama nafasi ya kuwaaga wachezaji watatu ambao wamechaguliw… Read More
  • KWA HERI ANITA BOUS,WEWE MBELE SISI NYUMA HAKUNA NAMNA NYEPESI YA  KUMUELEZEA "MJERUMANI" ANITA BOUS.  TUNACHOJUA ALITUPATIA UPENDO, UPENDO NA UPENDO. UONGOZI WA MPAJU FC UMEPOKEA KWA MASIKITIKO SANA KIFO CHA MMOJA WA WADUA WAO-ANITA BOUS (COLOGNE-GE… Read More
  • Mpaju FC yaanza Kuitikisa TanzaniaMpaju FC imetoa dalili nzuri kwa mafanikio ya kituo cha michezo cha Mpaju baada ya vijana wake watatu kufanikiwa kuwakilisha kituo kwa kushiriki mashindano ya kusaka vipaji ya TFF kupitia mkoa wa Mbeya. Vijana Emmanuel Mbwilo… Read More
  • Safari ya Mpaju FC- Mbalali (Meta- Shule ya Msingi Mpolo)Kama ilivyo kawaida ya Mpaju Sports Centre,mwaka huu pia walifanya ziara ya Mechi za kirafiki katika Kijiji cha Meta,Mbalali Mbeya ili kucheza michezo kadhaa ya kirafiki na timu za Shule ya Mpolo waliokuwa wenyeji wao na Timu… Read More

4 comments:

  1. ooh! i like it ,,really enlightening!!!hope to get more from you!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Worry not! we are yet to start actually! I too hope to get more from you

      Delete
  2. Nakubaliana na wewe kabisa, Fikra ni jambo pekee linaloleta maendeleo katika maisha. Kama mtu ataweza kuwa na fikra katika maisha yake na kuzitumia vizuri fikra hizo basi maendeleo yatapatikana kwa haraka sana. Big up Bw. Mpaju kwa kuwa na Fikra ya kuanzisha Blog hii.

    ReplyDelete