Wednesday, September 25, 2013

"Chancellor Of Germany" ni yuleyule Angela Dorothea Merkel

 Kashinda tena, kweli wanawake wanaweza!
Angela Dorothea Merkel



 Angela Dorothea Merkel (pronounced [aŋˈɡeːla doʁoˈteːa ˈmɛʁkl̩] ( listen);[1] née Kasner; born 17
July 1954) is a German politician and former research scientist who has been the Chancellor of Germany since 2005, and the leader of the Christian Democratic Union (CDU) since 2000. She is the first woman to hold either office. 

Despite winning one of the most decisive victories in German history, Merkel's CDU/CSU will have to seek the support of other parties in order to remain in office. Shortly after the election results became clear, the SPD and Greens announced they would not even consider going into coalition with the Left.[2] This all but assured a third term in office for Merkel.

 http://en.wikipedia.org/wiki/German_federal_election,_2013

 The CDU is Christian-based, applying the principles of Christian democracy and emphasising the "Christian understanding of humans and their responsibility toward God." CDU membership consists however of people adhering to a variety of religions as well as non-religious individuals [http://en.wikipedia.org/wiki/Christian_Democratic_Union_%28Germany%29]

 The Bundestag is elected using mixed-member proportional representation. Voters have 2 votes: with their first they elect a member of Bundestag for their constituency, with the second they vote for a party.  A party must either win 5 percent of the vote or at least three constituency seats in order to qualify for MMP.
( http://en.wikipedia.org/wiki/German_federal_election,_2013)
 

Tanki lina Haya

  1. Malengo ya KITAIFA yako mble kuliko ya WAGOMBEA NA VYAMA. Hakuna mtu anayeangalia sana juu ya malengo binafsi. Hili haliwezi kupatikana kama mifumo ya uendeshaji wa SERIKALI NA VYAMA haitabadilika. Hata chama kikiwa na udini, lakini kama mifumo ya NCHI na SERIKALI haina UDINI wala mianya ya KUPITISHIA udini, kitafanya kazi tu.MUHIMU ni malengo ya CHAMA yanalenga malengo ya TAIFA? MFANO
  2. Kabla ya kukubali kuwa mfumo ni mzuri ama lah, ni vema kujua wapi wamepitia ili, kuweza kuyakwepa MAKUU ambayo yaliwapata mpaka kufikia hapo walipo. DEMOKRASI inajidhihirisha kwa kiasi kikubwa pengine kuliko hata za nchi ambazo tumekuwa tukiamini kuwa ndizo bora katika hili. Maana hadi sasa, kuna uwezekano wa uchaguzi kurudiwa kama endapo mshindi atashindwa kupata mwenzie kutoka vyama ushindani ili kuunda serikali.
  3. MMP ina faida kadhaa ambazo pengine zinatufaa Wabongo
    • Mgombea hategemei sana chama. Yaani mgombea, anaweza kujipigia debe, akisaidiwa na chama, lakini kura atapata yeye peke yake na chama peke yake, hivyo kama kuna vitu hakubaliani navyo ni rahisi kuvionyesha.
    • Mwananchi anakuwa na haki ya  kuchagua kati ya MTU au CHAMA.
    • Inaweza kuongeza UBORA wa mawazo ndani ya vyama.

0 comments:

Post a Comment