Monday, September 23, 2013

WESTGATE CENTRE: YAVAMIWA! NA CHANZO BADO NI KIZUNGUMKUTI

Vyombo vya habari Afrika mashariki na kwingine Duniani,vinasikitishwa na kuripoti kwa mtindo tofauti kuhusu uvamizi ama utekaji nyara wa "SHOPPING MALL",kule KENYA. Cha ajabu, ukweli wa chanzo,
bado ni mjadala zaidi. Mjadala wa wazi kama ulivyokuwa uchaguzi, ni muhimu kwa sasa,si kwa wakenya tu bali hata nchi zingine za Afrika Mashariki, maana MWENZIO akinyolewa, ZAKO tia maji.


 HALI SI NZURI KABISA

http://www.independent.co.uk/news/world/africa/kenya-shopping-mall-attack-westgate-centre-military-assault-in-final-stages-with-three-terrorists-killed-and-four-arrested-8831413.html


NAIROBI | Sat Sep 21, 2013 5:35pm EDT

NAIROBI | Sat Sep 21, 2013 5:35pm EDT
PITIA PITIA ya vyombo vya habari, huwezi kukosa haya makuu mawili.

MOJA
"A Twitter account, linked to AL-SHABAAB, which claimed responsibility for the attack, posted the names of 10 people it said were among the attackers inside the shopping centre. The list included three Americans, one Finn and a 24-year-old from London.

The account was subsequently suspended, and a while a Foreign Office source said they “could not rule out” the claims, others questioned the veracity of the social media profile.

Nonetheless, today Kenya's Chief of Defence Forces General Julius Karangi said: “We have an idea who this people are and they are clearly a multinational collection from all over the world.”

The Somali Islamist group posted on Saturday: “The attack at #WESTGATEMALL is just a very tiny fraction of what Muslims in Somalia experience at the hands of Kenyan invaders.” It continued: “For long we have waged war against the Kenyans in our land, now it’s time to shift the battleground and take the war to their land.” The account was suspended soon after."

 MBILI


Eyewitness reports said the terrorists had barked orders at people during the killing spree on Saturday, telling Muslims to identify themselves and leave.

Some non-Muslims who attempted to talk their way past the fighters armed with grenades and AK-47s were asked to identify the mother of the Prophet. Those who could not were shot on the spot.

While many Kenyans have been braced for a terror attack since the country’s armed forces were sent across the border into Somalia in 2011, few had been prepared for loss of life on this scale.

http://www.independent.co.uk/news/world/africa/kenya-shopping-mall-attack-westgate-centre-sees-final-military-assault-as-smoke-billows-into-the-nairobi-sky-8831413.html


TANKI LINA yafuatayo!
CHANZO hapo kifupi, ni MISAADA YA KIJESHI,isiyolenga kupatanisha, BALI kusaidia kukomesha WANAOITWA WAASI katika nchi fulani, NA ITIKADI ZA KIDINI. Hivyo, kujua sababu iliyojificha nyuma ni VEMA zaidi, lakini kwa nchi kama Tanzania, ni vema kuwaombea ndugu zetu na wakati huohuo kujikagua kama sisi hatuna harufu ya kukutwa na haya? Tumejipanga? Tunazuiaje yasitukute? Hatuna haja sana ya kutafuta mchokozi kwa sasa na kumhukumu,kama ambavyo watanzania wengi wanaofuatilia habari hizi wansubiri. Yaani! tanki linasema!
  1. Vyombo vya habari vinaripoti kutoka vyanzo mablimbali ambavyo vingi havitoi ukweli wa chanzo kwa kina.Muhimu hapa sio kuwazuia wahusika, bali hasa kujua hasa nini chanzo, kitu ambacho kinahitaji MIJADALA ya wazi bila kuficha TUSI. baadhi a vyombo vya habari, bado vinaficha maelezo ya watu kadhaa ama wa upande mmoja. Hili linaashiria uwepo wa ajenda kubwa zaidi ya tuionayo.
  2. Viongozi wa nchi jirani kama TANZANIA na UGANDA, wanapaswa kulichukua tukio hili kama TAARIFA.
  3. KINGA ni bora kuliko TIBA. AL SHAABAB, AL SHAABAB, kama story, kama movies na mara kwa jirani, maana yake TZ, TUTIE MAJI ZETU. Kuna mabishano kadhaa juu ya HAKI mbalimbali na makundi ya KIDINI na KISIASA, humu nchini, ni vema zikajadiliwa kwa UWAZI, ili ukweli ujulikane kuliko kufukia fukia, mpaka KIFO kituumbue. NA ZAIDI, hatua za msingi NI VEMA ZIKIANDALIWA, ili kusijitokeze MAUAJI kama tunavyoshuhudia sasa KENYA.
  4. HATA WEMA una kiwango!!!!!!!!!!!!!!!!!!


0 comments:

Post a Comment