Wednesday, September 11, 2013

MIGOMO YA WALIMU WA "CHEKECHEA" UJERUMANI

CHANZO NI NINI? TUJIFUNZE NINI SISI WABONGO?
 
Ni Kawaida kwa wafanyakazi wa kitanzania kuona MISHAHARA ndio suluhisho la matatizo yao! Pengine ni hivyo duniani kote kwa sababu ndio hasa chanzo cha kipato tegemewa.Lakini, chanzo kikubwa cha mtu kuichukia kazi mara nyingi sio, MSHAHARA, bali zaidi ni mazingira yaendanayo na kazi na hasa thamani apewayo mfanyakazi, kuanzia vitendea kazi mpaka heshima, maarufu kama MARUPURUPU. Hili
limejidhirisha hata kutoka katika moja ya nchi zenye uchumi mizuri (http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_countries_by_average_wage) kulinganisha na Tanzania,yaani Ujerumani.

Picha na: Alexandra Beier/Reuters
A sign reading "We Are on Strike" is seen at the entrance of a kindergarden in Gilching, near Munich
(http://content.time.com/time/world/article/0,8599,1900918,00.html)
Ujerumani, kwa wakati huu, moja kati ya vitu vinavyozungumziwa ni pamoja na CHEKECHEA. Kunajitokeza migomo ya chinichini, (ISIYOMAALUMU),kwenye baadhi ya majimbo, na madai makuu ya walimu wa CHEKECHEA ni pamoja na USALAMA WA KIAFYA NA MABORESHO YA MAZINGIRA YA KAZI.
 "More than 20,000 teachers and day-care workers put down their crayons across Germany on Tuesday, including the states of North Rhine Westphalia and Bavaria, and eastern states such as Saxony and Thuringia. The teachers are demanding less stressful working conditions in the country's state-run kindergartens (which cater to children from the age of 2 or, in some states, age 1) and are calling for a new "health-protection contract." The industrial action is being organized by public-sector union Verdi and the GEW education union, which says that teachers are overburdened with red tape and suffer from health problems caused by their jobs. "Teachers have to cope with large groups of children — in some cases there are two teachers in charge of 25 children," says Martina Soennichsen, a spokeswoman for Verdi. "It's incredibly noisy. In some kindergartens, it's like being next to a runway when a plane takes off."http://content.time.com/time/world/article/0,8599,1900918,00.html.   

Pamoja na kupewa wastani wa Tshs 3,000,000 mpaka 5,000,000 kwa mwezi, ambayo ni mishahara isiyoweza kuwahakikishia maisha sahihi walimu wa CHEKECHEA nchini UJERUMANI. Hili pia litaendelea kubaki hivyo popote DUNIANI hata TANZANIA.Kwa sababu MISHAHARA haikidhi mahitaji ya WATUMISHI kwa ujumla, pengine ni kutokana na TAMAA, ama MAKATO mbalimbali yayopelekea mshahara kuwa sawa na HAKUNA. Na pengine, wataalamu na wanasiasa hutumia mishahara katika mipango mbalimbali ya kiuchumi na kisiasa, nakupelekea mishahara kuwa midogo kuliko tuionavyo. Kutoka (http://www.bbc.co.uk/news/world-europe-22080862),Ubelgiji wanalaumu Ujerumani kwa ujanja wa kiuchumi."Extensive use of mini-jobs leads to low acquisition of pension rights. Therefore there is a need to improve the transition from mini-jobs to more stable forms of contracts," Germany was told.
 
(But unofficially, this is also a dispute over pay. According to union estimates, a full-time teacher earns about $3,350 a month, while part-time teachers, who make up the majority of Germany's kindergarten staff, earn $2,100 a month. "We don't earn enough money and our working conditions have gotten worse," Elke Rumps, a kindergarten teacher in Cologne tells TIME. "We take kids from 10 months old, [we look after] large groups, and parents expect so much from us. We have to integrate kids from families with social problems, carry out our normal teaching duties and also have to fill out countless forms — it's very emotional and stressful work.")"http://content.time.com/time/world/article/0,8599,1900918,00.html. 

 Na kama ilivyo ada, migomo huwa ni mijadala ambayo, kila mtu anamtupia lawama mwenzie, kama TZ, serikali inalaumu chama cha walimu kuwa MADAI HAYANA UHALISIA, na KUAWASIHI kuwa MIGOMO inawaumiza WAZAZI na WATOTO.Japo baadhi ya wazazi wanaunga MKONO mgomo.

(Local councils, which are responsible for paying teachers, say their budgets are desperately overstretched and the unions' demands are unrealistic. Meanwhile, the association of German cities and councils has slammed the unions' muscle-flexing, saying the strike "would only harm parents and children." But most parents seem to back the strike action, even as they struggle to juggle work and child care. In Berlin's leafy Kollwitz Square, home to a small but crowded playground, many parents say they support the teachers' goals and are unfazed by the disruption. "The nursery teachers work long hours and they're often too tired and stressed to look after the kids properly," says Xenea, mother of 3-year-old Anna, who is darting around and playing in the sand. "At my daughter's kindergarten, there's one teacher to 10 kids. And when one teacher falls sick or can't make it, parents have to jump in," she says. (See nine kid foods to avoid.))"http://content.time.com/time/world/article/0,8599,1900918,00.html. 

Serikali haikosi kulaumiwa, kama ilivyo ada, kwa kufananisha na baadhi ya nchi zilizopiga hatua katika hili. Serikali inalaumiwa kwa kutotoa kipaumbele kulinganisha na nchi jirani, yaani, kati ya shule za chekechea 50,000 inashughulikia 17,000 na huku ikiangalia 18% ya watoto wa chekechea chini ya miaka mitatu, tofauti na nchi jirani zenye wastani wa 35%.

When it comes to available and affordable day care, Germany lags far behind its European neighbors: only about 18% of German children under age 3 attend state-run nursery schools, compared with a European average of 35%. To try to catch up, the German government has pledged to triple the number of day-care spaces to 750,000 by 2013, and Family Minister Ursula von der Leyen, herself a mother of seven, wants to give one in three children under the age of 3 the chance to attend nursery school. "http://content.time.com/time/world/article/0,8599,1900918,00.html. 

Mwisho wa yote, serikali,inawataka walimu kwanza kuendelea na KAZI.
 But first the government needs to get the teachers back to work. On Wednesday, union bosses are due to sit down with the local authorities in Berlin to hammer out a new pay deal. Another strike is planned for that day, and if there's no deal, more walkouts are expected. In the meantime, some councils have set up "emergency kindergartens" staffed by non-union members for strike days. In other parts of the country, parents have teamed up to organize alternative day-care arrangements; others are taking a day's vacation to stay home with the kids. As for the children, they're probably just wondering what all the fuss is about. "http://content.time.com/time/world/article/0,8599,1900918,00.html. 
 
KAMA TANZANIA
1.Malalamiko yana pamba moto katika wakati wa uchaguzi
2.Viongozi wanatupiana mpira na chama cha wafanyakazi
3.Tamko la serikali ni "Kafanyeni kazi kwanza"

MUHIMU hapa si, ubora wa habari au chanzo ama vithibitisho kama ambavyo wengi wanojiita wana sayansi hupenda. Bali kikubwa ni kama unaweza kujifunza kitu kutoka habari hii MBOVU au LAH? Kutoka Tankini, kuna mengi ya kujifunza, kuanzia VIONGOZI mpaka WANANCHI. 

Moja, ni kuwa CHEKECHEA ni muhimu sana pengine kuliko tunavyoifikia. Kiasi cha kuwa GUMZO katika wakati wa UCHAGUZI (Tanki linaahidi kufanyia kazi UMUHIMU WA CHEKECHEA). 

Pili, ni ukweli kuwa kuna watanzania kadhaa ambao wana taaluma ya UALIMU wa chekechea,lakini wameitupa kwa kuona haina maslahi, pengine ni wakati wao kufikiria upya, kwa kuangalia kinachojiri UJERUMANI, ambayo ni NCHI ya mfano wa MAENDELEO. 

Tatu, ni maswali kadhaa, juu ya maswali yaliyojitokeza! Kwa nini watu wanalaumu kwanza serikali? Chanzo hasa ni nini, MISHAHARA AU MARUPURUPU AMA MIFUMO YA NCHI TU? Kuna KOSA wapi mpaka NCHI kama UJERUMANI yenye miundombinu BORA (http://mpaju.blogspot.de/2013/02/mtanzania-acha-mipango-ya-ujanjaujanja.html) sana DUNIANI, kushindwa kuwa na shule za kutosha za CHEKECHEA na WALIMU wa chekechea wa kutosha. Na wakati huo huo kuna ELIMU ya juu inafanya vizuri,uchumi wao unafanya vizuri brani ULAYA! Kwa nini Chekechea tu? Kwa nini wakati wa UCHAGUZI? Watatatuaje? Maswali kama haya na mengine mengi,NI MUHIMU ili kujiandaa nayo kwenye mazingira yetu.

NUKUU MUHIMU!
 
'They never pay the slaves enough so they can get free, just enough so they can stay alive and come back to work"
http://rhyscorhys.com/2013/07/27/they-never-pay-the-slaves-enough-so-they-can-get-free-a-letter-from-charles-bukowski/  
 
KAZI KWAKO MZALENDO
 

2 comments:

  1. Kwa Bongo bahati mbaya, huwa hatuna sababu rasmi tuliyoielewa wenyewe ya kwanini tupatiwe suluhisho la tunaloliona kuwa ndio tatizo linalotukabili.

    Kwa mfano; Wanahabari watano wawepo palipo na mgomo, halafu wawahoji wanaodai kugoma, watano tofauti bila wao kujua kuwa kuna mwingine anahojiwa. Kisha uyasikilize hayo mahojiano ya wote. Huenda ukaona ninachokisema hapo.

    Mtazamo;
    Matatizo mengi ya watanzania ni ya kuambiwa. Sio kosa letu, ni dunia iliyotukuta tukiwa hatutegemei.

    Niliisikia hii pahala;
    Spidi ya maendeleo ya Tanzania sasa, ni kubwa kwa mara nyingi ya spidi iliyokuwanayo Marekani ilipokuwa kama Tanzania ya sasa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Uko sawa kanisa! Na kwa kuona hivyo, hawawezi kujiuliza, marekani ingekuwa kama Tanzania ingekuwa na spidi hii? You are very right baraka, mostly we are dealing with our said problems and not our real pronlems.Nafikiri inatokana na kutupa UTAALAMU na KUKUMBATIA Siasa!!!!

      Delete