Tuesday, June 4, 2019

KHERI YA SIKUKUU YA EID EL FITRI

Katika kuhitimisha mfungo Mpaju Sports Centre iliandaa futari ya pamoja kama inavyoonekana katika picha. Mbali na tukio hili kulenga kuhitimisha mfungo, pia ilitumika kama nafasi ya kuwaaga wachezaji watatu ambao wamechaguliwa kuungana na wenzao watakaowakilisha Mkoa wa Mbeya
katika mashindano ya kusaka vipaji yanayooendeshwa na TFF.






0 comments:

Post a Comment