Sunday, November 17, 2019

Mpaju Sports Centre Day- 31st Disemba 2019


Usiseme “MPAJU DAY”,
Sema
“MPAJU WEEK 2019, HATUA NI HATUA”

Kauli mbiu ya Mpaju SC, ni BURUHANI INA MAMLAKA. Ikiwa na maana rahisi tu ya kuamini, kuwa binadamu, na hasa watoto wadogo na vijana wa kitanzania, wanayo nafasi ya kutumia vipawa walivyopewa na muumba kuweza kufikia malengo yao,ya  kinchi na kidunia, na hivyo kufanya mazingira yanayowazunguka kuwa sehemu bora na za furaha kuishi.


Kwa sasa MSC, imefanikiwa kusajili timu ya Mpaju FC kwa namba 12029 ya tarehe 5 Machi 2018. Lakini Zaidi, Mpaju inajivunia sana, kupata baadhi ya vijana ambao wazazi wao wamekubali kuandika mikataba ili watoto wao waweze kuwa wanampaju halisi. Hili si jambo dogo kwetu na kwa upekee kabisa tunapenda kuwashukuru na kuwakaribisha wazazi wengine. HATUA NI HATUA, iwe ndogo au kubwa, muhimu kwetu ni kusogea mbele kuelekea katika ndoto yetu ya kuwa kituo bora dunia cha uendelezaji wa vipawa, hasa kupitia michezo.

Utamaduni wa Mpaju SC ni kuazimisha siku ya Mpaju, kila ifikapo mwisho wa mwaka, yaani tarehe 31 Disemba, kwa kufanya tamasha dogo na kuwakaribisha wadau mbalimbali. Mwaka huu, tamasha hili linatarajiwa kufanyika kwa wiki nzima, kuanzia tarehe 27-31 Disemba 2019 , ili kuruhusu timu nyingi kushiriki, kitu ambacho ni kati ya changamoto za tamasha la mwaka jana. Mpaju SC inaamini changamoto ni sehemu ya maisha, hivyo kwa kushirikiana na wadau, tamasha la mwaka huu linatarajiwa kufanikiwa zaidi. Kuanzia Wiki Hii ya tarehe 18th Disemba 2019, uongozi wa Mpaju Sports Centre tayari umeanza utaratibu wa kutoa barua za mialiko kwa timu shiriki ikiwa ni pamoja na kufuatilia taratibu za kuendesha tamasha na kutumia uwanja mkubwa kuliko yote jijini Mbeya, yaani UWANJA WA SOKOINEMwaka huu Ratiba inatarajiwa kuwa ifuatavyo. Kwa kutumia ratiba hii tunaamini, Uongozi wa MSC unapenda kuwaalika wadau woote kuhakikisha wanachukua mwaliko mapema. Kwa mawasiliano zaidi juu ya upatikanaji wa Barua za mwaliko, tumia namba zilizopo chini ya Jedwali 


RATIBA YA TAMASHA LA "MPAJU WEEK"-31 DISEMBA 2019
SIKU YA KWANZA-27 DISEMBA
Namba ya Tukio
Tukio

Wahusika
Muda
1
KUKUSANYIKA

Timu, Viongozi na Wageni
0800-0900
2
Kupanga na Kuratibu

Timu, Viongozi na wageni
0900-0930
3



Mashindano ya Mpira wa Miguu



i
U-12 Mechi 1
0945-1030



ii
U-12 Mechi 2
1045-1130






iii
U-12 Mechi 3
1145-1230



iv
U-12 Mechi 3
1245-1330



4
Kufunga Siku ya Kwanza

Mgeni Maalumu
1345-1430





SIKU YA PILI-28 DISEMBA
1
KUKUSANYIKA

Timu, Viongozi na Wageni
0800-0900
2
Kupanga na Kuratibu

Timu, Viongozi na wageni
0900-0930
3



Mashindano ya Mpira wa Miguu



i
U-15 Mechi 5
0945-1030



ii
U-15 Mechi 6
1045-1130



iii
U-15 Mechi 7
1145-1230



iv
U-15 Mechi 8
1245-1330



4
Kufunga Siku ya Pili

Mgeni Maalumu
1345-1430





SIKU YA TATU-29 DISEMBA
1
KUKUSANYIKA

Timu, Viongozi na Wageni
0800-0900
2
Kupanga na Kuratibu

Timu, Viongozi na wageni
0900-0930
3



Mashindano ya Mpira wa Miguu



i
U-15 Mechi 9
0945-1030



ii
U-15 Mechi 10
1045-1130



iii
U-15 Mechi 11
1145-1230



iv
U-15 Mechi 12
1245-1330



4
Kufunga Siku ya Tatu

Mgeni Maalumu
1345-1430





SIKU YA NNE-30 DISEMBA
1
KUKUSANYIKA

Timu, Viongozi na Wageni
0800-0900
2
Kupanga na Kuratibu

Timu, Viongozi na wageni
0900-0930
3



Mashindano ya Mpira wa Miguu



i
U-17 Mechi 13
0945-1030



ii
U-17 Mechi 14
1045-1130



iii
U-17 Mechi 15
1145-1230



iv
U-17 Mechi 16
1245-1330



4
Kufunga Siku ya Nne

Mgeni Maalumu
1345-1430
SIKU YA TANO-31 DISEMBA
1
KUKUSANYIKA

Timu, Viongozi na Wageni
0800-0900
2
Kupanga na Kuratibu

Timu, Viongozi na wageni
0900-0930
3



Mashindano ya Mpira wa Miguu



i
U-12 Mechi 17
0945-1030



ii
U-15 Mechi 18
1045-1130



iii
U-17 Mechi 19
1145-1230



iv
A-17 Mechi 20
1245-1330



4
Kufunga Siku ya Tano

Mgeni Maalumu
1345-1430

Mlezi wa Mpaju SC- 0743253311 (Juma Ahmed Mpangule)
Kocha Mkuu-  0713 012271(Abdallah Athumani Kiyumbu)
Kocha Msaidizi- 0629588395 (Hassan Nasibu)

0 comments:

Post a Comment