Sunday, August 1, 2021

Wanasoka Wafurika Uwanja wa Sokoine Kutoa Pole Kwa MATHIAS GERALD MDAMU

(Baadhi  ya Matukio yahusuyo Mpaju FC)

Michezo ya hisani Yapigwa,

 Timu ya Taifa ya Ilemi 1- Mbeya All Stars 0

Na

Mpaju FC 2-ICON FC 0

Wachezaji wa Mpaju wakiwa katka picha ya pamoja na wachezaji wa MBEYA ALL STARS, wakati wachezaj hao wakipitisha mfuko wa pole, wakiwa wamewaacha wenzao wakiendelea na mchezo baada ya kutoa burudani kubwa sana kwa kipindi cha kwanza, matokeo yakiwa 0-0, kabla ya wenzao kupoteza dhidi ya TIMU YA TAIFA YA ILEMI kwa 1-0. 





Makocha na wachezaji wa Akiba kwa kikoi cha Mpaju Fc wakati wakiwakabili ICON FC kwa mchezo wa Utangulizi

MPAJU FC

ICON FC na MPAJU FC wakikaguliwa




0 comments:

Post a Comment