MPAJU WEEK 2020
(Disemba 15-22)
Uwanja wa Magereza Chuo-Ruanda Mbeya
nani kufungua Dimba timu za wasichana?
(Disemba 15-22)
Uwanja wa Magereza Chuo-Ruanda Mbeya
nani kufungua Dimba timu za wasichana?
Own Thinking Tank
Hawa ndo vijana walio tung'arisha na bado wanahamu ya kufanya zaidi ya hapa...
Hiki ndicho kikosi cha Mpaju SC upande wa watoto kikiwa kwenye ziara katika shule ya msingi Mpolo.
Mpaju FC wakiwa kwenye Picha ya Pamoja wakati wa Tamasha la Mpaju Week 2019 Uwanja vya Magereza Mbeya.