HAKUNA NAMNA NYEPESI YA
KUMUELEZEA "MJERUMANI" ANITA BOUS.
UONGOZI WA MPAJU FC UMEPOKEA KWA MASIKITIKO SANA KIFO CHA MMOJA WA WADUA WAO-ANITA BOUS (COLOGNE-GERMANY) KILICHOTOKEA MWEZI HUU WA SITA MWANZONI. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU ANITA BOUS PEMA PEPONI
![]() |
Anita Akiwa na Ahmed (Rafiki yake mpendwa na Mmoja wa wa wachezaji hatari wa Mpaju FC-U10) Iganzo-Mbeya. |
![]() |
Ukarimu wa Anita haukuishia kwa Ahmed, Mpaju FC imepata pia vifaa kadhaa vya Mpira. Mpaju Sprts Centre itaendelea kuenzi mazuri ya Anita. |
HATUNA LA KUFANYA ANITA BOUS, HAKIKA UTABAKI MIOYONI MWETU.
0 comments:
Post a Comment