Thursday, May 1, 2014

SABUNI BORA TOKA TUKUYU-RUNGWE, TANZANIA.

 

Photo By Hussein Mjasiriamali

AZA HERBAL MEDICATED SOAP. Ni sabuni ya asili iliyotengenezwa kutumia vitu vya asili kama tunda la PARACHICHI. Ndani ya tunda hili kuna maji kiasi kidogo sana ukilinganisha na matunda
mengine lakini kuna mafuta mengi na unaweza kuchanganya kula na tunda lingine kama vile apple, ndizi, chungwa au hata maziwa kwa kutengeneza juisi.

TINDIKALI
Licha ya kuwa na mafuta parachichi lina tindikali (acid)
mbalimbali ikiwemo inayojulikana kama amino ambayo husaidia sana kukinga na kutibu maradhi katika mwili wa binadamu. Tunda hili pia lina protini ya kiwango cha juu.
Pia kuna tindikali inayoitwa oleic acid kwenye parachichi ambayo husaidia kukinga magonjwa ya moyo, kiharusi na kansa.

VITAMINI �E� NA B6
Imeelezwa na wataalamu kuwa tunda hili lina kiwango kikubwa cha vitamini E kuliko ile inayopatikana kutoka kwenye mazao ya wanyama.Parachichi lina vitamini hiyo nyingi kuliko inayopatikana katika mayai ambayo yanasifika kwa kuwa na vitamini e, hivyo hii inathibitisha kuwa lina faida kubwa mwilini.

Licha ya vitamini E pia ndani ya parachichi kuna vitamini B6 na kuna madini ya chuma (Iron) kwa wingi na madini ya potassium, pamoja na vitamin B6 na E mlaji anaweza kuletawa nafuu sana kama alikuwa na matatizo ya stress, matatizo ya uzazi kama ugumba na jogoo kutopanda mtungi Nguvu za kiume pia tunda hili linasaidia (impotence) . AZA kwa afya bora ya ngozi yako
.
Hussein Mjasiriamali facebook (https://www.facebook.com/profile.php?id=100008266203743)

TANKI HALINA CHA KUONGEZA, 
ZAIDI YA KUWAOMBA WATANZANIA
 KUIPOKEA SABUNI NA KUJALI JITIHADA ZETU, 
ndio njia nyepesi ya 
KUSONGA MBELE 
kitaifa.

3 comments:

  1. ninahitaji sabuni zinapatikana wapi dar es salaam

    ReplyDelete
  2. nahitaji sabuni za Gaza nipo mbagala dsm

    ReplyDelete
  3. Unahitaji sabuni naipataje mawasiliano yangu ni 0676680468

    ReplyDelete