Thursday, May 1, 2014

SABUNI BORA TOKA TUKUYU-RUNGWE, TANZANIA.

 

Photo By Hussein Mjasiriamali

AZA HERBAL MEDICATED SOAP. Ni sabuni ya asili iliyotengenezwa kutumia vitu vya asili kama tunda la PARACHICHI. Ndani ya tunda hili kuna maji kiasi kidogo sana ukilinganisha na matunda
mengine lakini kuna mafuta mengi na unaweza kuchanganya kula na tunda lingine kama vile apple, ndizi, chungwa au hata maziwa kwa kutengeneza juisi.

TINDIKALI
Licha ya kuwa na mafuta parachichi lina tindikali (acid)
mbalimbali ikiwemo inayojulikana kama amino ambayo husaidia sana kukinga na kutibu maradhi katika mwili wa binadamu. Tunda hili pia lina protini ya kiwango cha juu.
Pia kuna tindikali inayoitwa oleic acid kwenye parachichi ambayo husaidia kukinga magonjwa ya moyo, kiharusi na kansa.

VITAMINI �E� NA B6
Imeelezwa na wataalamu kuwa tunda hili lina kiwango kikubwa cha vitamini E kuliko ile inayopatikana kutoka kwenye mazao ya wanyama.Parachichi lina vitamini hiyo nyingi kuliko inayopatikana katika mayai ambayo yanasifika kwa kuwa na vitamini e, hivyo hii inathibitisha kuwa lina faida kubwa mwilini.

Licha ya vitamini E pia ndani ya parachichi kuna vitamini B6 na kuna madini ya chuma (Iron) kwa wingi na madini ya potassium, pamoja na vitamin B6 na E mlaji anaweza kuletawa nafuu sana kama alikuwa na matatizo ya stress, matatizo ya uzazi kama ugumba na jogoo kutopanda mtungi Nguvu za kiume pia tunda hili linasaidia (impotence) . AZA kwa afya bora ya ngozi yako
.
Hussein Mjasiriamali facebook (https://www.facebook.com/profile.php?id=100008266203743)

TANKI HALINA CHA KUONGEZA, 
ZAIDI YA KUWAOMBA WATANZANIA
 KUIPOKEA SABUNI NA KUJALI JITIHADA ZETU, 
ndio njia nyepesi ya 
KUSONGA MBELE 
kitaifa.

Related Posts:

  • LIGI YA MKOA MBEYA- MPIRA WA MIGUU KWA WANAWAKE MPAJU FC (ATINISU) WAANZA VEMA Waifunga Kyela Queens 2-1.  NEEMA RAPHAEL (POGBA) ( Wa Tatu kutoka Kulia,waliosimama) NA YACINTA (YANTE) (Wa Pili kutoka Kulia,waliopiga goti) ndio waliopeleka tahadhari Kyela le… Read More
  • GRACE FC CUP MBEYA 2021MPAJU FC U-15 YATWAA UBINGWA KIBABE YAICHAPA NEW TALENT ACADEMY 3-0Mwenyekiti wa Mpira Wilaya Mzee Gondwe akikabidhi Jezi na Mpira kwa Mabingwa wa Grace Cup 2021-Mpaju FC U-15.Picha ya Pamoja ya Mpaju Fc, New Talent… Read More
  • MPAJU SPORTS INNOVATION WEEK 2022 EVENT Mpaju Sports Centre was among the organizers of the Mbeya Regional Edition of Innovation Week Tanzania 2021(IWTz2022) from 9th to 14th May 2022. The main host of the event was Mbeya University of science and technology … Read More
  • MPAJU FC (ATINISU) WAWAFUNGA ICON FC GOLI MBILI BILA MAJIBU (2-0)WAMALIZA LIGI YA MKOA - MBEYA KWA KISHINDO(Magoli yalifungwa na Zainabu Mwambole kwa Penati na Grace Saanane Kutokana na Kona)Mpaju FC Atinisu wakisalimiana na Icon Fc kabla ya kuanza Mchezo Walimu wa Mpaju FC Atinisu (David … Read More
  • MPAJU FC YAKAMILISHA USHIRIKI WA TASCA CUP MPAJU WEEK 2021 IKO PALE PALEMpaka sasa wadau wa soka wa Mkoa wa Mbeya wanajiuliza kulikoni, Mwaka huu hakuna Mpaju Week 2021 au Mpaju Day 2021? Jibu ni kuwa Kituo cha Mpaju SC kimekuwa katika ushiriki wa TASCA CU… Read More

3 comments:

  1. ninahitaji sabuni zinapatikana wapi dar es salaam

    ReplyDelete
  2. nahitaji sabuni za Gaza nipo mbagala dsm

    ReplyDelete
  3. Unahitaji sabuni naipataje mawasiliano yangu ni 0676680468

    ReplyDelete